Simba - Local

Al Ahly Tripoli mikononi mwa Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Aug 2024
Al Ahly Tripoli mikononi mwa Simba

Timu ya Al Ahly Tripoli ya Libya huenda ikachuana na Simba katika mechi ya raundi ya kwanza kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika msimu huu

Al Ahly Tripoli iliichapa Uhamiaji Fc ya visiwani Zanzibar mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza na timu hizo zitarudiana siku ya Jumamosi kukamilisha raundi ya pili

Mechi zote zinapigwa Libya, Uhamiaji walichagua kucheza nchini humo baada ya CAF kutoupitisha uwanja wa New Amaan Complex

Ni wazi Simba itachuana na Al Ahly Tripoli kuwania tiketi ya makundi CAF CC ambapo mechi zote zitapigwa Septemba 2024 Simba ikitarajiwa kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani

Simba haijashiriki hatua ya awali ya michuano hiyo ikiwa miongoni mwa timu zilizokusanya alama nyingi katika rank za CAF

Kulingana na viwango vipya vilivyotolewa na CAF, Simba inashika nafasi ya 7 kwa ubora Afrika

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’