Msafara wa kikosi cha Yanga kilichoondoka mapema leo, umewasili salama Addis Ababa kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza raundi ya pili ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA
Nyota ambao walikuwa na majukumu ya timu za Taifa wanatarajiwa kuungana na wenzao hapo Addis Ababa










