Makocha Ken Gold wajiuzulu

Joel JJ By Joel JJ β€’ 17th September 2024


Makocha Ken Gold wajiuzulu

Baada ya kupoteza mechi tatu mfululizo za ligi kuu ya NBC, Ken Gold Fc imethibitisha kocha wake mkuu Fikir Elias na kocha msaidizi Luhaga Makunja kujiuzulu

Timu hiyo kutoka mkoani Mbeya imemtangaza Jumanne Charles kuwa kocha wake wa muda


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.