Singida - Pamba - Local

Singida BS yajichimbia kileleni Ligi Kuu

Joel JJ By Joel JJ
17 Sep 2024
Singida BS yajichimbia kileleni Ligi Kuu

Bao la dakika ya kwanza lililofungwa na Emmanuel Keyeke lilitosha kuihakikishia Singida BS ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Pamba Fc katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa CCM Krumba

Huo ulikuwa ushindi wa nne kwa Singida BS msimu huu vijana wa Kocha Patrick Aussems wakiendeleza rekodi ya ushindi kwa asilimia 100

Singida BS imezidi kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 12

Wakati Singida BS wakiendeleza umwamba, hali bado ni mbaya kwa Coastal Union iliyochapwa mabao 2-0 dhidi ya Namungo Fc katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex

Ulikuwa ushindi wa kwanza kwa Namungo Fc ambayo ilipoteza mechi zote tatu zilizopita huku Coastal Union wakipoteza mechi ya pili

More Stories

Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
53m ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
56m ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
1h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
1h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
3h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
13h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
13h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
14h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
17h ago
READ MORE →