Mchezo wa ligi kuu kati ya Azam Fc dhidi ya Simba ambao utapigwa Septemba 26, umehamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar
Mchezo huo awali ulipangwa kupigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam