Mmiliki mtarajiwa wa Everton Dan Friedkin amemtambua kocha wa timu ya taifa ya England Gareth Southgate, 54, kama mtu anayetarajiwa kuchukua nafasi ya Muingereza mwenzake Sean Dyche, 53, katika uwanja wa Goodison Park. (GiveMeSport)
..... download Xtra 90 App



