Simba - Local

Mghana kuinoa Simba Queens

Joel JJ By Joel JJ
β€’
25 Sep 2024
Mghana kuinoa Simba Queens

Baada ya kuachana na Kocha Juma Mgunda ambaye mkataba wake umemalizika, Simba Queens leo imemtangaza Yussif Basigi raia wa Ghana kurithi mikoba ya Mgunda

Basigi (52) ametua Simba Queens akitokea Haacas Ladies inayoshiriki ligi kuu ya wanawake Ghana

Basigi amewahi kuinoa timu ya Taifa ya Wanawake ya Ghana na kushinda medali ya dhahabu kwenye All African Games mwaka 2015

Atakuwa na kasi ya kuisuka upya Simba Queens ambayo mwezi uliopita ilikosa ubingwa wa CECAFA na hivyo kupoteza nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa ya Wanawake

Jukumu lake la kwanza ni kuhakikisha Simba Queens inatwaa Ngao ya Jamii, mechi ya nusu fainali ikicheza na watani zao Yanga Princess Oktoba 02

More Stories

Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
3h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
5h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
9h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
9h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
10h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
15h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
22h ago
READ MORE β†’
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
1d ago
READ MORE β†’