Yanga - Local

Kamwe awashukia wanaoponda ushindi wa Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Oct 2024
Kamwe awashukia wanaoponda ushindi wa Yanga

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema malengo ya timu katika kila mechi ni kukusanya alama tatu

Kamwe amewataka mashabiki na wanachama na timu hiyo kutoingia mtegoni na kuamini ushindi wa bao 1-0 sio matokeo ambayo timu yao inastahili

Baada ya ushindi wa bao 1-0 katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Ken Gold na KMC, leo Yanga itashuka tena uwanja wa Azam Complex kumenyana na Pamba Jiji. Kamwe amesema lengo kuu katika mchezo huo ni kupata alama tatu

"Wachezaji wote wa Yanga wanafurahia ushindi wa alama tatu, sababu ukipata goli moja si kwamba unapata pointi moja, ukipata goli moja na anayefunga goli mia mnapata wote pointi tatu"

"Haya maneno yanayotengenezwa makusudi kutia presha kwa wachezaji wetu, niwaambie kitu, Yanga tunawachezaji wakomavu kweli kweli na wanauwezo wakumudu hizo presha na kucheza kwenye kiwango kizuri kabsa"

"Nafikiri kwa mtu anayeelewa mpira ni kwamba kuwa tishio kwenye mpira ni kushinda mechi, unapokuwa tishio na haushindi mechi ni mbaya zaidi, ukifanya tathmini kuanzia kwenye pre season tumefungwa mchezo mmoja tu na Ausburg kwenye kila mechi tumeweza kufunga goli na sisi tunaweza kushinda kila mechi," alisema Kamwe

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’