Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu barani UJlaya (ECA) unaofanyika katika Mji wa Athens, Ugiriki
Injinia Hersi amepokea mwaliko rasmi kutoka kwa Rais wa PSG Nasser Al-Khelaifi ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa ECA
Hii ni nafasi kwa Hersi kuziwakilisha klabu za Afrika katika Mkutano huo yeye akiwa Mwenyekiti wa Umoja wa klabu barani Afrika (ACA)





