England, Uingereza, International

Tuchel Kocha Mkuu Uingereza

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Oct 2024
Tuchel Kocha Mkuu Uingereza

Uingereza imemtangaza kocha Thomas Tuchel kuwa kocha mpya wa timu ya taifa hilo. Chama cha Soka nchini humo FA kimempa Mjerumani huyo jukumu la kujaribu kutwaa taji lao la kwanza tangu mwaka 1966

Tuchel ambaye amewahi kuwa meneja wa klabu ya Chelsea ataanza kibarua chake Januari mosi mwakani

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 51, ambaye amekuwa kando tangu aagane na Bayern Munich mwishoni mwa msimu uliopita, anarithi mikoba ya Muingereza Gareth Southgate kama kocha wa kudumu

Anakuwa meneja wa tatu wa kigeni wa England baada ya Sven-Goran Eriksson na Fabio Capello

Tuchel, ambaye pia amezifundisha Borussia Dortmund na Paris Saint-Germain, anapewa matumaini ya kumaliza ukame wa miaka 58 wa England kushinda mashindano makubwa tangu Kombe la Dunia la 1966 kwenye ardhi ya nyumbani

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
15h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
19h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
21h ago
READ MORE β†’