Simba - Local

Debora ni kiungo bora Tanzania - Ahmed

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Oct 2024
Debora ni kiungo bora Tanzania - Ahmed

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amemwagia sifa kiungo mahiri wa timu hiyo Debora Fernandez kwa mwendelezo mzuri wa kiwango chake

Tangu aliposajiliwa na Simba, Fernandez amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha kocha Fadlu Davids

Kuelekea mchezo wa Kariakoo Derby utakaopigwa Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Fernandez anatizamwa kama moja ya wachezaji watakaoibeba Simba mabegani katika mchezo huo

Ahmed amesema kiungo huyo bado hajaonyesha uwezo wake kwa asilimia 100, anachokionyesha sasa ni kama asilimia 15 tu

"Tanzania hii hakuna mchezaji anayefikia walau theluthi ya kiwango cha Debora Mavambo Fernandez na hapo ana asilimia 15 za ubora wake"

"Hapo bado anaendelea kujitafuta na kuendelea kuzoea mazingira na kocha Fadlu anaendelea kumuongezea mambo ya kiufundi"

"Baada ya muda mfupi Fernandez atafanya mambo makubwa sana kwenye mpira wetu," alisema Ahmed

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’