JKT Tanzania leo watakuwa mikononi mwa Yanga pale Azam Complex katika mchezo wa ligi kuu ya NBC utakaopigwa saa 1 usiku
Kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X, JKT Tanzania wameiandikia Yanga barua ya wazi kuwa leo wanakwenda kuwaadhibu vikali pale Azam Complex ili kuzilipia kisasi timu ndogo zote zilizofungwa na Wananchi.!



