Local,Normal News,Namungo, Simba

Mgunda kuanza na Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Oct 2024
Mgunda kuanza na Simba

Jana klabu ya Namungo Fc ilimtangaza Juma Mgunda kuwa kocha wake mkuu akichukua nafasi ya Mwinyi Zahera aliyebadilishiwa majukumu katika timu hiyo kutoka Ruangwa mkoani Lindi

Kibarua cha kwanza cha Mgunda ni mchezo dhidi ya Simba ambao utapigwa uwanja wa KMC Complex kesho Ijumaa

Unaweza kusema baada ya kufanya kazi nzuri iliyomfanya apendwe na mashabiki wengi wa Simba, Mgunda sasa anakwenda kukabiliana na waajiri wake hao wa zamani

Mgunda alikuwa sehemu ya taasisi ya Simba kwa takribani misimu mitatu akiwa Kocha Mkuu, Kocha wa muda na kazi yake ya mwisho alikuwa Kocha wa Simba Queens

Simba ilitangaza kuachana nae mwezi uliopita baada ya mkataba wake kumalizika

Hata hivyo kazi yake haitakuwa rahisi hapo kesho kwani Mnyama anazihitaji alama zote tatu

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
58m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
23h ago
READ MORE β†’