Mshambuliaji wa Fountain Gate Selemani Mwalimu bado hashikiki katika kuzifumania nyavu akiongoza mbio za kuwania ufungaji bora ligi kuu ya NBC 2024/25
Mwalimu ameweka kambani mabao sita akifuatiwa na nyota mwenzie kutoka Fountain Gate Edgar William ambaye pia amepachika mabao manne
Hii hapa orodha ya wachezaji 10 waliofunga kuanzia mabao matatu;





