Local,Normal News,Simba, Yanga

Yanga, Simba katika tuzo za CAF 2024

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Oct 2024
Yanga, Simba katika tuzo za CAF 2024

Klabu za Simba na Yanga zimetajwa kuwania tuzo za klabu bora ya mwaka katika tuzo za mwaka za CAF ambazo zitafanyika Morocco mwishoni mwa mwaka huu

Tuzo hizo zitaandaliwa katika jiji la kitalii la Marrakech, Morocco, tarehe 16 Desemba 2024, Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza

Hii ni mara ya tatu mfululizo Morocco kuandaa sherehe hizo, baada ya kuandaa kwa mafanikio makubwa katika miaka miwili iliyopita

Yanga na Simba zimeingia pamoja katika tuzo hizo baada ya kufanya vizuri katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu uliopita ambapo zote zilicheza hatua ya robo fainali

Hata hivyo mabingwa wa Afrika Al Ahly wamo kama ilivyo kwa mabingwa kombe la Shirikisho ambao pia ni mabingwa wa CAF Super Cup, Zamalek

Vigogo hawa ndio wanapewa nafasi ya kushinda tuzo hiyo iliyokwenda kwa Al Ahly msimu uliopita

Golikipa wa Yanga na timu ya Taifa ya Mali Djigui Diarra ametajwa katika kinyan'ganyiro cha kuwania tuzo ya golikipa bora wa mwaka akichuana na magolikipa wengine bora walioteuliwa kuwania tuzo hiyo akiwemo Andre Onana golikipa wa Manchester United

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
59m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
23h ago
READ MORE β†’