Tottenham Hotspur imeendeleza matokeo mazuri katika Ligi ya Europa kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya AZ Alkmaar Alhamisi kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur
Kocha Ange Postecoglou alifanya mabadiliko manane kutoka kwa ushindi wa wikendi dhidi ya West Ham, Spurs ilionekana kuzembea katika kipindi cha kwanza ikionekana kutokuwa na mfumo bora zaidi ya uchezaji





