Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Frank Komba, Hamdani Said na Elly Sasii wameteuliwa na CAF kuwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa Kufuzu AFCON 2025 kati ya Cameroon dhidi ya Zimbabwe
Mchezo huo utapigwa Novemba 19,2024 huko Cameroon
Arajiga atakuwa mwamuzi wa kati akisaidiwa na Frank Komba, Hamdani Said na Elly Sasii akiwa mwamuzi wa akiba



