Local,Normal News,Fountain, Singida BS

Singida BS yaichapa Fountain Gate 2-0

Joel JJ By Joel JJ
25 Oct 2024
Singida BS yaichapa Fountain Gate 2-0

Derby ya pacha iliyopigwa uwanja wa CCM Liti, mkoani Singida mchana wa leo imemalizika kwa wenyeji Singida Black Stars kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate

Mchezo huo ulianza kwa kasi timu zikishambuliana kwa zamu lakini ni Singida Black Stars waliotumia vyema nafasi kwa kufunga mabao yao katika kipindi cha pili kupitia kwa Josphat Bada na Ayoub Lyanga

Ushindi muhimu na wenye maana kubwa kwa Singida BS ambayo imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 22

Mchezo wao unaofuata ni dhiidi ya mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga ukitarajiwa kupigwa uwanja wa New Amaan Complex, Jumatano Oktoba 30

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
2h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
2h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
2h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →