Klabu ya JKT Tanzania imetoa taarifa ya baadhi ya wachezaji wake kuumia katika ajali ya basi iliyotokea mapema leo wakati timu hiyo ikitoka mkoani Dodoma ambako walicheza mechi ya ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji jana