Local,Normal News,Coastal, Kagera

Coastal Union, Kagera Sugar kuumana Ligi Kuu leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Oct 2024
Coastal Union, Kagera Sugar kuumana Ligi Kuu leo

Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo miwili kufanyika Arusha na Mbeya

Coastal Union itakuwa mwenye wa Kagera Sugar kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha

Coastal ipo nafasi ya 12 katika msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 8 baada ya michezo tisa wakati Kagera Sugar ni ya 14 ikiwa pointi 5 baada ya michezo nane

Mechi nyingine, Dodoma Jiji itakuwa mgeni wa Ken Gold katika uwanja Sokoine jijini Mbeya

Dodoma Jiji inashika nafasi ya saba ikiwa pointi 12 baada ya michezo tisa wakati Ken Gold ni ya 16 mwisho wa msimamo ikiwa na pointi 4

Mchezo kati ya Simba na JKT Tanzania uliokuwa ufanyika leo umeahirishwa kutokana na baadhi ya wachezaji wa JKT kuwa na majeraha baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduka wakati wakitoka Dodoma kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
2m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
31m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’