Local,Normal News,Mashujaa, Simba

Mkwara wa Mashujaa Fc kwa Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Oct 2024
Mkwara wa Mashujaa Fc kwa Simba

Mashujaa Fc kutoka mkoani Kigoma imetamba itaendeleza ubabe dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba Sc pale timu hizo zitakapokutana katika mchezo wa ligi kuu siku ya Ijumaa, Novemba 1

Nyasi za uwanja wa Lake Tanganyika zitakuwa kwenye wakati mgumu katika mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni

Mashujaa Fc wanakumbukumbu ya kuibuka na ushindi dhidi ya Simba mara ya mwisho katika uwanja huo msimu uliopita kwenye mchezo wa hatua ya mtoano kombe la Shirikisho la CRDB Mashujaa wakitinga robo fainali kwa ushindi wa mikwaju ya penati 4-3

Hata hivyo Mashujaa Fc hawajawahi kuifunga Simba katika mechi za ligi kuu, ubabe wao wameufanya katika michuano ya kombe la FA

Je wataweza kuwazuia vijana wa Kocha Fadlu Davids ambao wameshinda mechi zote walizocheza ugenini msimu huu?

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’