Mchezo wa ligi kuu ya NBC baina ya Young Africans dhidi ya Azam utachezwa katika uwanja wa Azam complex-Chamazi badala ya Benjamini Mkapa
Bodi ya ligi imetaja sababu ya mabadiliko haya ni marekebisho makubwa yanayoendelea kufanyika katika uwanja wa Mkapa. Mchezo huu utachezwa Novemba 2,2024
Uwanja wa Benjamini Mkapa unaendelea kuboreshwa tayari kwa ajili ya michuano ya CHAN 2025..... download Xtra 90 App



