Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Tanzania yapoteza kwa penati dhidi ya Sudan kufuzu CHAN

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Nov 2024
Tanzania yapoteza kwa penati dhidi ya Sudan kufuzu CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 dhidi ya Sudan ikifungwa kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya matokeo ya aggregate ya sare ya bao 1-1

Tanzania iliibuka na ushindi wa bao 1-0 katika dakika 90 za mchezo huo, Chrispine Ngushi akifunga bao la Stars katika kipindi cha kwanza akimaliza krosi ya David Bryson

Stars ilifungwa bao 1-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza ambao Sudan walikuwa wenyeji nchini Mauritania

Hata hivyo licha ya kupoteza mchezo huo, Tanzania inayo tiketi ya kushiriki michuano hiyo ya CHAN kama mwenyeji wa michuano hiyo ikitarajiwa kupigwa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda mwezi February 2025

Kikosi cha Stars kinachoonyeshwa na Bakari Shime kilionyesha kandanda safi leo licha ya kujumuisha wachezaji kutoka timu ya vijana na baadhi ya wachezaji kutoka klabu za ligi kuu ukiacha wachezaji kutoka timu za Yanga, Simba na Azam Fc ambayo ilitoa mchezaji mmoja, Saadun ambaye aliingia katika dakika 20 za mwisho na kutolewa nje kwa kadi mbili za njao

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
11h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’