Local,Normal News,Tabora, Mashujaa, Kagera, Dodoma

Mechi mbili Ligi Kuu NBC leo

Joel JJ By Joel JJ
4 Nov 2024
Mechi mbili Ligi Kuu NBC leo

Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mechi mbili zinatarajiwa kupigwa mkoani Tabora na Kagera

Tabora United watakuwa wenyeji wa Maashujaa katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi saa 10 jioni

Baada ya ushindi dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo uliopita, Tabora United watakuwa wakisaka alama nyingine tatu muhimu ambazo zinaweza kuwasogeza juu ya Mashujaa katika msimamo wa ligi

Mashujaa Fc wametoka kupoteza mchezo uliopita uwanja wa nyumbani kwa kufungwa bao 1-0 na Simba, pengine hii ni mechi ya kurejea katika mwenendo wao mzuri walioanza nao msimu huu

Saa 1 usiku Kagera Sugar watakuwa nyumbani Kaitaba kumenyana na Dodoma Jiji

Kagera Sugar nayonolewa na Melis Medo wamekusanya alama tano tu katika mechi nane msimu huu, ni wazi leo watahitaji kushinda mbele timu ngumu ya Dodoma Jiji ambayo inashika nafasi ya nane katika msimamo ikiwa na alama 13

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
2h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
2h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
2h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →