Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Singida BS

Msuva, Manula warejeshwa Stars

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Nov 2024
Msuva, Manula warejeshwa Stars

Winga Saimon Msuva na mlinda lango Aishi Manula ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2025 ambapo Tanzania inakabiliwa na mechi mbili muhimu za kuamua hatma yake dhidi ya Ethiopia na Guinea

Katika kikosi hicho Kaimu Kocha Mkuu Hemed Morocco pia amemjumuisha mlinda wa kulia wa Simba Shomari Kapombe na beki Abdulraza Hamza kutoka klabu ya Simba huku akimuacha Bakari Mwamnyeto

Mlinda lango wa Singida Black Stars Metacha Mnata pia amerejeshwa katika kikosi hicho

Hiki hapa kikosi kamili;

More Stories

Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
3h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
5h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
9h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
9h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
10h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
15h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
22h ago
READ MORE β†’
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
Wapinzani wa Simba, Mighty Wanderers kutua nchini leo wakitokea Malawi
1d ago
READ MORE β†’