Local,Normal News,Yanga, Simba

Yanga, Simba zapewa ahueni CAF

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Nov 2024
Yanga, Simba zapewa ahueni CAF

Klabu za Yanga na Simba mwishoni mwa mwezi zitaanza kampeni ya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho

Yanga inayoshiriki ligi ya mabingwa itachuana na Al Hilal katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi utakaopigwa Novemba 27 katika uwanja wa Benjamin Mkapa huku Simba inayoshiriki kombe la Shirikisho, itashuka katika uwanja huo Novemba 28 kuchuana na Bravos ya Msumbiji

Bodi ya Ligi imefanya mabadiliko ya ratiba ambapo mechi za ligi zinazohusisha klabu hizo ambazo zilipaswa kuchezwa punde baada ya kukamilika mechi za kalenda ya FIFA, zimesogezwa mbele

Novemba 21 Yanga ilipaswa kucheza dhidi ya Fountain Gate na Pamba Jiji dhidi ya Simba, mechi hizo zitapangiwa tarehe nyingine

Ni wazi sasa Simba na Yanga zitakuwa na muda wa kutosha kujiandaa na mechi za CAF na pengine kuanza vyema hatua ya makundi ya michuano hiyo

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
3h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
6h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
10h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
12h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
13h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
13h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
18h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’