Yanga yakacha Azam Complex, yahamia KMC Complex

Joel JJ By Joel JJ β€’ 10th November 2024


Yanga yakacha Azam Complex, yahamia KMC Complex

Baada ya tetesi kuvuma, hatimaye klabu ya Yanga jana imethibitisha kuhama uwanja wa Azam Complex na sasa itatumia uwanja wa KMC Complex

Taarifa iliyotolewa na Yanga jana, imebainisha kuwa Yanga itatumia dimba la KMC kwa mechi zote za ligi kuu zilizobaki pamoja na FA


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.