Sporting yatangaza mrithi wa Amorim

Joel JJ By Joel JJ β€’ 11th November 2024


Sporting yatangaza mrithi wa Amorim

Klabu ya Sporting Lisbon imemtangaza Joao Pereira kuwa Kocha Mkuu akirithi mikoba ya Ruben Amorim

Pereira alikuwa kocha wa timu ya vijana ya Sporting Lisbon hivyo wamempandisha tu na kumfanya kuwa Kocha Mkuu

Amorim tayari ameondoka Ureno kuelekea jijini Manchester kuanza majukumu ya kuinoa Manchester United

Kocha huyo anaanza rasmi majukumu yake leo Jumatatu, Novemba 11


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.