Yanga - Simba - Azam - Singida - Local

Msuva aripoti kambini Stars

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Nov 2024
Msuva aripoti kambini Stars

Nyota wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'  Saimon Msuva ameripoti kambini akiungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya maandalizi ya michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, dhidi ya Ethiopia na Guinea itakayochezwa Novemba 16 na Novemba 19, 2024

Baada ya kukosekana katika mechi nne zilizopita, hatimaye Msuva ambaye sasa anacheza soka la kulipwa huko Iraq, amerejea kuendeleza kasi yake ya kutupia mabao muhimu katika kikosi cha Stars

Tanzania itahitaji maajabu yake katika mechi hizo mbili ambazo Stars inahitaji kushinda ili iweze kufuzu Afcon 2025

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
4h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
7h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
9h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
11h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
13h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
14h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
14h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
19h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’