Winga wa timu ya Taifa ya Tanzania Saimon Msuva ameshinda kesi yake ya madai fedha za usajili na malimbikizo ya mishahara dhidi ya klabu ya Wydad Athletic
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limeifungia Wydad kufanya usajili wa ndani na Kimataifa hadi pale itakapomlipa nyota huyo wa zamani wa Yanga
Baada ya Msuva kushinda alipofungua madai hayo mara ya kwanza katika Mahakama..... download Xtra 90 App



