Local,Normal News,Yanga, Simba

Simba Queens, Yanga Princess uso kwa uso Ligi ya Wanawake

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Nov 2024
Simba Queens, Yanga Princess uso kwa uso Ligi ya Wanawake

Mikiki mikiki ya Ligi Kuu ya Wanawake inaendelea ambapo ligi hiyo imeingia raundi ya nne ambapo kesho Jumatano Derby ya Kariakoo upande wa kinadada Simba Queens vs Yanga Princess itapigwa

Simba Queens ndio vinara wa ligi hiyo wakiwa kileleni mwa msimamo wakikusanya alama 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku watani zao Yanga Princess wakisaka ushindi wa kwanza msimu huu baada ya kulazimishwa sare katika mechi zote tatu

Kocha Mkuu wa Yanga Princess amesema licha ya kikosi chake kukosa ushindi katika mechi zilizopita lakini watakuwa tayari kuikabili Simba Queens kwani mchezo huo wanafanya maandalizi tofauti ya kimbinu

Nae kocha wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo utakaopigwa katika dimba la KMC Complex, Mwenge

Basigi amesema mchezo huo utakuwa wa kuvutia, ikiwa ni mechi yake ya pili ya Derby tangu alipojiunga na Simba Queens

Simba Queens ilichapwa na Yanga Princess katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii timu hiyo zilipokutana mwezi uliopita

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
58m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
23h ago
READ MORE β†’