Local,Normal News,Tabora, Simba

Tabora United kuongezewa dau ikiifunga Simba raundi ya pili

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Nov 2024
Tabora United kuongezewa dau ikiifunga Simba raundi ya pili

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesema endapo timu ya Tabora United itaifunga Simba kwenye mchezo wa Ligi kuu bara utakaochezwa Desemba 28 mwaka huu basi atawazawadia motisha ya Tsh 50 Milioni

Chacha ameyasema hayo jana wakati akiwa kwenye maandalizi ya kukabidhi Tsh 20 Milioni alizowaahidi Tabora United baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi yaa Yanga

Katika mchezo wa duru ya kwanza, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 uwanja wa KMC Complex

Timu hizo zitachuana tena Disemba 28 ukiwa ni mchezo wa duru ya pili utakaopigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali ametamba kuwa Simba sio timu ya kuwekea ahadi

"Mnajisumbua tu Simba sio timu ya kuiwekea ahadi," aliandika Ahmed katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’