International,Transfer News,Manchester United

Panga la Amorim kuwapitia mastaa Man Utd

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Nov 2024
Panga la Amorim kuwapitia mastaa Man Utd

Nyota kadhaa wa Manchester United wanaweza kujikuta katika wakati mgumu baada ya kutua kwa kocha Ruben Amorim

Baada ya kuiongoza Manchester United kwenye mwanzo mbaya zaidi wa Ligi Kuu ya Uingereza, Erik ten Hag alitimuliwa Oktoba 28

Ingawa klabu hiyo ilimteua mshambuliaji wa zamani wa United na meneja wa PSV Ruud van Nistelrooy kama kocha wa muda, morim tayari amekabidhiwa rsmi majukumu ya kuiongoza United

Imeelezwa tayari Amorim ameuambia uongozi wa klabu hiyo kuwa wachezaji Antony, Casemiro, Eriksen na Henrique hawajitaji katika kikosi chake

Aidha Amorim amesema kwa sasa hatasajili mchezaji yeyote kutoka katika klabu yake ya zamani Sporting Lisbon labda katika usajili wa majira ya joto

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
3h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
3h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
4h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
5h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
5h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
6h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
7h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
20h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
21h ago
READ MORE β†’