Local,Normal News,Fountain, Singida BS

Fountain Gate, Singida BS kumenyana mechi ya kirafiki

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Nov 2024
Fountain Gate, Singida BS kumenyana mechi ya kirafiki

Kikosi cha Singida Black Stars kinachonolewa na kocha Patrick Aussems leo kitashuka dimba la Tanzanite Kwaraa huko Manyara kumenyana na Fountain Gate katika mchezo wa kirafiki

Mechi hiyo ya 'Derby ya ndugu', ni kwa ajili ya maandalizi ya timu zote kuelekea mechi zinazofuata za ligi kuu baada ya kuhitimishwa kwa kalenda ya FIFA

Ligi itakaporejea, Singida BS itasafiri ugenini Tabora kumenyana na Tabora United katika mchezo utakaopigwa Novemba 24 uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

Aidha, mchezo kati ya Yanga dhidi ya Fountain Gate uliopaswa kupigwa Novemba 21, umeondolewa na utapangiwa tarehe nyingine

Singida BS inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi ikiwa na alama 23 wakati Fountain Gate iko nafasi ya 5 ikiwa na alama 17

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
5h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
11h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
17h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’