Local,Normal News,Yanga, Simba, Azam, Fountain Gate, Singida BS

Kazi ni moja tu leo, kufuzu Afcon 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Nov 2024
Kazi ni moja tu leo, kufuzu Afcon 2025

Saa 10 jioni timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kusaka tiketi ya fainali ya michuano ya Afcon 2025 dhidi ya Guinea

Ni mchezo ambao Tanzania inahitaji kushinda ili kujihakikishia tiketi ya kushiriki michuano hiyo itakayofanyika Morocco mwakani

Hata hivyo ni wazi haitakuwa kazi rahisi mbele ya Guinea iliyoshinda mechi tatu mfululizo baada ya mara ya mwisho kupoteza mchezo nyumbani kwa kufungwa na Tanzania bao 1-0

Guinea wao wanahitaji alama moja tu kufuzu kwani wako nafasi ya pili kundi H wakiwa na alama 9 huku Tanzania wakiwa wa tatu na alama 7

Ushindi utaifanya Tanzania ifikishe alama 10 na hivyo kuipiku Guinea nafasi ya pili na kuungana na DR Congo kufuzu kwa michuano hiyo

Mchezo huo hautakuwa na kiingilio baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk. Samia Suluhu Hassan kutoa ofa kwa mashabiki kuingia bure dimba la Mkapa ili kuwaongezea hamasa wachezaji

Kila la kheri Tanzania.....!

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
58m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
23h ago
READ MORE β†’