International,Normal News,Bayern, Tottenham

Kane hafikirii kustaafu timu ya Taifa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
19 Nov 2024
Kane hafikirii kustaafu timu ya Taifa

Nahodha wa Uingereza Harry Kane amesema bado ana nguvu ya kucheza kwa kiwango cha juu zaidi kuwahi kutokea, huku akipuuza mapendekezo ya Kombe la Dunia la 2026 kuwa michuano yake ya mwisho kimataifa

Hii ni baada ya kuitwa katika timu ya taifa hivi karibuni. Thomas Tuchel atachukua nafasi ya meneja wa England mwezi Januari na kuiongoza katika mechi zake za kwanza hadi mechi za kufuzu Kombe la Dunia

Bosi wa muda Lee Carsley aliiongoza Uingereza katika Ligi ya Mataifa kwa kushinda mara tano katika mechi sita. Hiyo ni pamoja na ushindi wa 3-0 ugenini Ugiriki wiki iliyopita

Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 31 alifunga bao Jumapili katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Jamhuri ya Ireland aliporejea kwenye kikosi cha kwanza

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’