Jioni hii timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' iko uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Guinea katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon 2025
Hiki hapa kikosi kinachoshuka dimbani kugipania ushindi;