Klabu ya Simba imelaani kitendo cha Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh Said Mtanda akiongozana na mafisa wa Polisi kuingilia mazoezi ya mwisho ya Simba yaliyofanyika uwanja wa CCM Kirumba kinyume na kanuni
Simba imetoa taarifa kulaani matukio hayo ambayo yalipelekea kushikiliwa kwa kocha msaidizi Selemani Matola na Meneja wa timu Patrick Rweyemamu