Manchester United wana nia ya kumsajili tena kiungo wa kati wa Uingereza Angel Gomes, 24, kwa uhamisho wa bure wakati mkataba wake na Lille utakapokamilika msimu ujao. (Mail)
Wakati huohuo, United wako tayari kumenyena na Real Madrid kumsajili winga wa Atalanta Ademola Lookman. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Nigeria mwenye umri wa miaka 27 anaweza kununuliwa katika majira ya joto. (Caught..... download Xtra 90 App



