Droo ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB imefanyika leo ambapo ratiba ya miamba 64 watakaoshiriki hatua hiyo imewekwa wazi
Mabingwa watetezi Yanga, Simba, Azam na vigogo wengine wa ligi kuu wote wanaanzia nyumbani mechi zao katika raundi hiyo
Yanga itachuana na Gopco Fc, Simba ikiumana na Kilimanjaro Wonders huku Azam Fc wakimenyana na Iringa Fc
Hii hapa ratiba kamili;





