Klabu ya Soka ya Simba imemtangaza Zubeda Hassan Sakuru kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake Mkuu, huku ikiuarifu umma ya kwamba imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Francois Regis
Kwa mujibu wa taarifa ya Simba, kusitishwa kwa mkataba wa Regis ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa klabu hiyo