Bodi ya Ligi Kuu imeidhinisha maombi ya klabu ya Yanga kutumia uwanja wa KMC Complex kama uwanja wake wa nyumbani katika mechi za ligi kuu zilizobaki pamoja na kombe la Shirikisho la CRDB