Local,Normal News,Singida

Ouma achukua nafasi ya Kitambi Singida BS

Joel JJ By Joel JJ
β€’
29 Nov 2024
Ouma achukua nafasi ya Kitambi Singida BS

Aliyekuwa kocha wa Coastal Union David Ouma ametangazwa kuwa kocha msaidizi wa Singida Black Stars

Ouma ametajwa kushika nafasi hiyo akichukuwa nafasi ya Denis Kitambi aliyesimamishwa kazi klabuni hapo sambamba na bosi wake Patrick Aussems

Hata hivyo bado Singida Black Stars hawajamtangaza kocha mkuu, ambapo nafasi yake kwa sasa inashikwa kwa muda na Ramadhan Nsanzurwimo

Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Masanza amesema klabu hiyo itamtangaza kocha Mkuu wakati wowote kuanzia sasa

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
40m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
52m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’