Winga wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 32, ndiye 'ndoto' ya usajili wa Saudi Pro League msimu ujao. (Mail - Subscription Required)
Manchester United wanapanga uhamisho wa pauni milioni 50 ili kuwashinda Chelsea kwa ajili ya kumnunua beki wa kati wa Benfica na Ureno Tomas Araujo, 22, mwezi Januari. (Sun)
Beki wa Crystal Palace, 24, Muingereza, Marc Guehi, anatamani kujiunga tena..... download Xtra 90 App



