Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Ijumaa, Novemba 29 ambapo mechi mbili zinatarajiwa kupigwa saa 10 jioni
Watoza ushuru kutoka Manispaa ya Kinondoni, KMC watakuwa dimba la KMC Complex kuikabili Tabora United huku Fountain Gate inayotumia uwanja wa Kwaraa Manyara ikwakaribisha maafande wa JKT Tanzania




