Namungo, Yanga kinapigwa Majaliwa Stadium leo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 30th November 2024


Namungo, Yanga kinapigwa Majaliwa Stadium leo

Saa 12:30 jioni, Yanga SC watakuwa ugenini uwanja wa Majaliwa wakicheza na Namungo FC

Yanga SC na Namungo FC wanaingia katika mchezo huu kila mmoja akitoka kupoteza mechi mbili mfululizo katika NBC PL

Mapema kabla ya mchezi huo, saa 10:00 jioni, Mashujaa FC watakuwa Lake Tanganyika wakikipiga na Kagera Sugar


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.