Local,Normal News,Yanga, Namungo

Yanga yaichapa Namungo Fc 2-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 Nov 2024
Yanga yaichapa Namungo Fc 2-0

Yanga imezoa alama zote tatu mkoani Lindi wakiichapa Namungo Fc mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Majaliwa, Ruangwa

Mabao ya kipindi cha pili yaliyofungwa na Kennedy Musonda na Pacome Zouzoua, yalitosha kuihakikishia Yanga alama tatu muhimu 

Vijana wa Kocha Sead Ramovic waliingia katika mchezo huo wakiwa na ari ya kusaka ushindi, ilikuwa ni suala la muda tu Yanga kufunga baada ya kwenda mapumziko matokeo yakiwa suluhu ya bila kufungana

Namungo walishindwa kuhimili kasi ya Yanga katika kipindi cha pili, Kennedy Musonda akifunga bao la kwanza dakika ya 50 akimalizia pasi ya Maxi Nzengeli kabla ya Pacome kufunga la pili dakika ya 67 akimalizia pasi ya Clatous Chama aliyeingia kuchukua nafasi ya Aziz Ki

Ni ushindi wa kwanza kwa Ramovic huku Namungo Fc ikiendelea kuchechemea ikipoteza mechi ya tatu mfululizo

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
14m ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
3h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
5h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
7h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
9h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
10h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
10h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
15h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
23h ago
READ MORE β†’