International,Normal News,Manchester City

Haaland awatuliza mashabiki Man City

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Dec 2024
Haaland awatuliza mashabiki Man City

Mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland amewaka mashabiki wa wachezaji wenzake wa timu hiyo kuwa na imani licha ya hali yao mbaya

Mabingwa hao wa Premier League hawajashinda katika mechi saba katika michuano yote kwa mara ya kwanza tangu 2004

Man City pia wako kwenye mwenendo mbaya zaidi wa ligi tangu 2008. Kichapo cha Jumapili dhidi ya Liverpool kilikuwa cha nne mfululizo kwa City, sawa na rekodi kama hiyo ya miaka 16 iliyopita

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, Haaland aliandika ujumbe akiwataka wafuasi wa timu hiyo wawe na utulivu

"Tumeona bora siku zilizopita, na tutaona tena. Tuendelea kuamini," alindika Haaland

City waliteremka hadi nafasi ya tano kwenye jedwali baada ya kichapo huko Merseyside na sasa wameachwa alama 11 na vinara Liverpool

Watakuwa na matumaini ya kupunguza pengo lao nyumbani kwa Nottingham Forest Jumatano

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’