International,Transfer News,

Tetesi za usajili Ulaya, Jumatano Disemba 04 2024

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Dec 2024
Tetesi za usajili Ulaya, Jumatano Disemba 04 2024

Nottingham Forest inajiandaa kuwasilisha dau la kumnunua mshambuliaji wa Brighton na Jamhuri ya Ireland Evan Ferguson, 20, mwezi Januari . (Football Insider)

Real Madrid wanataka kumsajili beki wa Liverpool kutoka Uingereza Trent Alexander-Arnold, 26, kwa uhamisho wa bure. (Telegraph - usajili unahitajika)

Liverpool wanapanga kufanya uhamisho wa pauni milioni 91 Januari kwa beki wa Bournemouth mwenye umri wa miaka 21 na Hungary Milos Kerkez na kiungo wa Real Sociedad na Uhispania Martin Zubimendi, 25. (Teamtalk)

Arsenal, Chelsea, Liverpool na Tottenham ni miongoni mwa vilabu vinavyomuwania winga wa Athletic Bilbao mwenye umri wa miaka 22 Nico Williams. (Athletic -Usajili unahitajika)

Barcelona wanamfuatilia mshambuliaji wa Newcastle United na Uswidi Alexander Isak, 25. (Caught Offside)

Manchester United wana nia ya kumsajili beki wa RB Leipzig wa Ujerumani David Raum, 26, na mshambuliaji wa Juventus na Uturuki Kenan Yildiz, 19. (Sky Germany - kwa Kijerumani)

Manchester United wamewasiliana na beki wa Canada Alphonso Davies, 24, ili kutathini nia yake ya kujiunga na klabu hiyo mkataba wake wa Bayern Munich utakapokamilika msimu ujao. (Team Talk)

Leicester City wana nia ya kuimarisha safu yao ya mashambulizi na wana mpango wa kumsajili mshambuliaji mpya dirisha la uhamisho wa wachezaji litakapofunguliwa Januari. (Football Insider)

BBC

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’