Klabu ya Fountain Gate inayoshiriki ligi kuu ya NBC, imeanza mapema maboresho kuelekea kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili, Disemba 16
Timu hiyo iliyoweka makaz yake Manyara, imekamilisha usajili wa nyota wawili kutoka JKU ya Zanzibar, Shabaan Pandu ambaye ni beki wa kati na Mudrik Abdi Gonda anayecheza nafasi ya ushambuliaji
Fountain Gate ilianza vyema msimu lakini ikapoteza..... download Xtra 90 App



